Mwenyewe da'Rahifah!! |
Akitafakari aanzie wapi kuikata keki!!! |
Dada na Kakazz, Wapambe muhimu |
Hehehheeh!!! kweli kulea kazi, kaka mtu Bob Malikh yupo bithe kumtengeneza dada yake |
Baba na mwana,Pole da'Sulhiya[mama mtoto] yeye alikuwa mpiga picha siku hiyo,hatukupata picha yake. |
Wakisikiliza Nasaha kutoka kwa Wazazi hahahaha |
Da'Rahifah Tunakutakia kila lililojema,Baraka, Amani,Upendo na Makuzi mema.Uwe Baraka kwa Wazazi na Watu wote.
Hongereni sana Bibi na Bwana Jamal.M.Jamaldin[Minanasi].Kwakukuza, Mungu awape Hekima na Maarifa katika Malezi Yenu.
Swali la kizushi;Waungwana kuna aliye na picha za kutimiza mwaka 1-5?.
Au wewe Wazazi wako Hawakuweka Kumbukumbu,Hawakuwa na Tamaduni hizi za mambo ya siku kuu yako ya kuzaliwa?
"Swahili NA Waswahili" Karibuni Wooote!!!!!!
9 comments:
hONGERA DADA RAHIFAH!!
Wifi ahsante nimeona picture,chezeyaaa swahili na waswahili weweeee.
Hongera sana, LITTLE GIRL!
Asanteni kwakumtakia kilaheli my Little Girl kwa kutimiza mwaka wake wa kwanza....Ahamad AKA {Minnanasi} Babake Dada asante kuwek picha kwenye web yako lovely..
HONGERA, hongera Hafidhal, sasa tunajiandaa kutoa shikamoo za nguvu kwa baba na mama yako, .....
Rachel sijui kama umeiona keki, mbona yenyewe hujaiongelea kwa mapana???? Hujaifanyia uungwana kabisa kwa kweli...
Hongera Da'Ratifah kwa mwaka wako wa kwanza.
Mungu akubariki.
Asanteni kwa kumtakia kila heli my Little Girl kwa kutimiza mwaka wake wa kwanza....Ahamad AKA {Minnanasi} Babake Dada asante kuweka picha kwenye web yako lovely..
Da'Yasinta na kaka Matanje pamoja sana!
Wifi wa mimi karibu sana mpenzi wangu, hahahha hakunaga kama Swahili!!!!
'Kaka Ahmad chako changu na changu chako kaka yangu mpendwa.
'Emu wa 3 hahahaah utakatwa Mitama na Bob nahizo shimoo zako.
Dada Mkuu'Mija kweli sikuitendea haki keki jamani kunawatu wabunifu, sijui ni mchanganyiko wa nini yaani inaonekana ni tamu haswa.
Jamani hile kike imepambwa yale ya juu maembe.....chezeaaa..ilikuwa tamuje.
Post a Comment