Mwenyewe da'Maidana,mamake na Taqqiyyah |
Samaki na Mazagazaga na ameungwa/tiwa Nazi
Kitu Samaki kimepakuliwa |
Samaki wa Kubanikwa |
Visheti,Kashata,Keki, hivyo vyenye kidoti mie naviitaga vibata, sijui vyaitwaje?Hapa bado Ufuta jamani duuhh |
Mikate,sijui wewe utaitaje kwani hapa kwangu kila mtu anajina lake! |
Waungwana karibuni tena "JIKONI LEO".Leo Mpishi wetu si Mwingine ni da'Maidana,Ni blogger Mwenza,Pia ni MjasiriaMali,Ukitaka kujua zaidi. Anapatikana.http://tmark-turn.blogspot.co.uk
Nimegundua Waswahili Wengi Wanapenda kupika na kujifunza Mapishi Mbalimbali.
Vipi wewe mwenzangu unapenda kupika?jee mbali na kupika Unapenda/Unaweza Kufanya nini kwa Mikono yako?
Karibuni sana Waungwana katika yoote!!!!!!
"Swahili na Waswahili" pamoja sana!!!!
4 comments:
shukran sana,nimefurahi
weka na recept ya mapish dear
ahsante sana kwa kutuonyesha hapa mimi napenda kiduchu tu kupika nasa napenda kuwa /kushughulika na udongo yaani bustani, maua nk.
Ajabu nimetoka kula, ghafla naona njaa tena.., huu msosi si mchezo.
Hongera zake sana.
Post a Comment