Waungwana; "JIKONI LEO;"Ni Tupike Pamoja wametoa Mapishi mapya ya Russian Salad,kwa njia ya Video.Lugha ni Kiswahili.
Usikose kujifunza kupitia "TUPIKE PAMOJA" Mmmmmhh Tamu Saaaana.
Kuona mengi zaidi ingia;www.tupikepamoja.com au hapo pembeni kuna nembo yao bonyeza tuu.
Pamoja sana Waungwana. "SWAHILI na WASWAHILI"
Usikose kujifunza kupitia "TUPIKE PAMOJA" Mmmmmhh Tamu Saaaana.
Kuona mengi zaidi ingia;www.tupikepamoja.com au hapo pembeni kuna nembo yao bonyeza tuu.
1 comment:
Ahsante kwa mapishi haya ya kirusi..nitajaribu siku yake:-)
Post a Comment