Haya Waungwana mambo ya Igatanzania hayo!!!
Niwauzaji wa T-shirt,Jezi,Kanga,Vitenge,Viatu vya shanga,Bangili,Makembe na vitu vyooote vya urembo kutoka nyumbani Tanzania.Pia ni Wapishi wa vitafunwa/Vitafunio,Vyakula vyooote ujuavyo vya kiswahili.
Pata kitu Roho inapenda na waswahili wa "Igatanzania"
Wapo Coventry u.k.
kwa mawasiliano zaidi piga namba hii.07730008921.
KARIBUNI SANA WAUNGWANA.
4 comments:
Ahsante kwa kutokuwa mchoyo napenda watu ambao wanaushirikiano wa aina hii. ukitili chabwina sana mlongo .
Sande mlongo wangu!!!!
Tupo pamoja ndugu wa mimi
Asante ndugu wa mimi@Emu wa 3!!!
Post a Comment