Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 10 June 2012

Mswahili wetu Leo;kaka Mod-Med[Mbuko]Raha Jipe mwenyewe!!!!!!

Mswahili Kaka Mbuko akijipa Raha mtaani Huko Holland[Uholanzi],Raha tele Tabu ya nini?

"Swahili na Waswahili" Pamoja sana!!!!


3 comments:

Simon Kitururu said...

Yeah! Raha jipe mwenyewe yani!

Simon Kitururu said...

Na ukisikia raha kumbuka laweza kuwa ni swala BINAFSi!

Rachel Siwa said...

Nakubaliana nawe kaka wa MIMI!!