(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!
6.Lakini nasema neno hili,Apandaye haba atavuna haba;Apandae kwa Ukarimu Atavuna kwa Ukarimu. 7.Kila mtu na Atende kama alivyokusudia Moyoni mwake,si kwa Huzuni,wala si kwa Lazima;Maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa Moyo wa Ukunjufu. Neno la Leo:Wakorintho9:6-15.
2 comments:
Nakubaliana nawe Mungu atubariki sote... amani iwe nanyi na itawale majumbani mwetu. Jumapili na jioni njema
Ameeeen dada wa mimi!!!!!!!
Post a Comment