Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 10 June 2012

Nawatakia J'Pili Yenye Furaha,Burudani;Kijitonyama Evangelical Choir !!!!!


Mshukuruni BWANA kwa kuwa ni mwema;kwa maana Fadhili zake niza Milele.

Mshukuruni Mungu wa Miungu;kwa maana Fadhili zake ni za milele.

Waungwana  muwe na J'pili yenye Baraka,Amani,Shukrani na Fadhili.
Neno la Leo;Zaburi136:1-26. "Swahili na Waswahili".Pamoja sana!!!!!

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

ahsante kwa neno na pia nawe uwe na jumapili njema sana pamoja na familia yako:-)

emuthree said...

J3 njema na kazi njema, tupo pamoja kwa saana