Mwenyewe RayK |
Bibi na Bwana Kiwinga!!!!! |
Uzuri tangu Utotoni,ya Kale ni Dhahabu |
Asante kwa yooote,Hakunaga Wifi wa mimi Pamoja Daima.
Swali kwa Waungwana; Hivi nini kinasababisha Mtu na Wifi zake wasielewane?Wivu,Chuki,Tamaa au.......
Karibuni sana kwa Maoni,Mawazo,Ushauri na Kuelimishana kwa Upendo.
Angalizo; Wifi zangu Sitaki kujifunza Kuharibu Nyumba zenu Akuuu hahahhahhaahahah!!!!!!!
Hakunaga hakunaga hakunaaaaa hakunaaa"Swahili na Waswahili" Pamoja sana.
4 comments:
Hongera dada Rehema kwa siku yako ya kuzaliwa. Kachiki mimi sina wifi kwa hiyo sijui mwenzako..hahahahaa:-) kaaaz<i kwelikweli
Hahahahhah da'Kadala huna hata kakawa baba mdogo aliye Oa au wewe ndiyo chanzo kina kaka wasiOe?tehtehteh.......
Hongera da Rehema kwa siku yako ya kuzaliwa.mmmmm juu ya uwii jamani ni wivu tu minadhani maana looo usilongwe ukaolewa na familia mumeo ndio mwanaume mwenyewe unakutana na mawii kama wanne looo mie sisemi mimi
HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA, NAOMBA MAWIFI WAJIBU HILO SWALI!
Post a Comment