Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 17 June 2012

Tumalize J'Pili vyema,Burudani-Anita John (Jehovah Jireh) swahili !!!!!!!!!

Waswahili wakisifu na Kuabudu,Da'Anita mwenye blauzi ya maua yenye pink
Natumaini mlikuwa na J'pili njema, Mungu azidi kuwabariki wooote!!!
Tumalizie siku na Zaburi ya 23:1-6;Bwana ndiye Mchungaji wangu,Sitapungukiwa na kitu!.!!!!!
Nawapenda Wooote.!
"SWAHILI na WASWAHILI"   Pamoja sana....

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Dada Anita ana sauti nzuri nimependa. Jumapili ilikuwa safi na naamini walio wengi pia ilikwisha vizuri