Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Saturday, 21 July 2012

Chaguo la Mswahili Leo;Marijani Raajab - Salama,Mwajuma,Mwanameka-DDC na kitu cha-Hiba!!!

DJ Wa Swahili NA Waswahili Leo!!

Waungwana "CHAGUO LA MSWAHILI LEO"
 Turudi nyuma kidoogo Tuangalie/Tusikilize Bendi zetu , jee unaonaje Bendi hizi?
 Zinaklukumbusha nini na jee Zinakubamba/Unazipenda?
 Vipi Bendi za kileo na za zamani Tofauti iko wapi?

 Na jee zasasa wanafanya vyema zaidi kwa sababu ya usasa au wanakwenda Kinyume?

Twende sote sasa....... oohh mwajuma pesa hupatikana kwatabu...oohh mwajuma pesa hupatikana kwa shidaaaaa...Bwana Mashakaaaa wachakulalamika oohh kama amekushinda mrudishe kwaooo.......

Mhhhhh  ngoja niishie hapa na Chumvi nimeacha nisije pata Safura bure!!!!!!

"Swahili NA Waswahili" Pamoja sana.

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

mimi napenda zaidi za zamani kwa vile wanachoimba ni cha kumfunza mtu. ndiyo hata mziki wa sasa unafunza ila wa zamani una mkazo fulani hivi...