Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Tuesday, 24 July 2012

ENGINEER WA VODACOM JOSEPH MWAPINGA APATA PIGO: AFIWA NA MKEWE.




Marehemu Belinda J. Mwapinga enzi za uhai wake.

Mwili wa Belinda ukiwa katika kanisa la roman katoliki extenal.

Baba Padre akitoa heshima yake ya mwisho kwa mwili wa Belinda. J. Mwapinga jana katika Kanisa la Katoliki Extenal Dar es salaam

Joseph Mwapinga mwenye suti nyeusi akiwa na watoto wake alio achiwa na mke wake kipenzi Belinda.


Wafanyakazi wa VODACOM Tanzania wakiwa wamebeba mwili wa Marehemu Belinda wakiufikisha katika makaburi ya Kinondoni.

Hawa ni baadhi ya waombolezaji waliohudhuria kwenye safari ya mwisho ya Belinda.


Mwili wa Marehemu Belinda ukiwa umewekwa juu ya nyumba yake ya milele katika makaburi ya Kinondoni Dar es salaam.

Mhandisi Joseph Mwapinga akiweka shada la mauwa kwenye kaburi la Mke wake.



Baba Padre akisali sala ya mwisho kwa ajili ya kumuombea Marehemu Belinda J. Mwapinga katika makaburi ya Kinondoni.
kulia kwa Padre ni Joseph Mwapinga na mwenye Tshirt nyekundu ni rafiki wa karibu wa familia, Ndugu Stephen Mapunda.

Marehemu Belinda J. Mwapinga alifariki tarehe 20/07/2012 katika Hospitali ya Muhimbili na mazishi yake kufanyika tarehe 23/07/2012 katika makaburi ya Kinondoni.

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE.


"Swahili NA Waswahili" Tunawapa pole wafiwa. 

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Pole sana kwa pigo kali kuondokea na kipenzi chaka kaka. KIchobaki tumwombee marehemu yupo nasi kiroho ila si kimwili. Mwenyezi Mungu na awape nguvu kwa kipindi hiki kigumu.