Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Monday, 23 July 2012

Jikoni Leo;Maidana-na JIKO LANGU,Mapishi-Maandazi ya Yogurt!!!!!!!!!

MAHITAJI
yogurt vijiko 2vya chakula
sukari 1/4 mug
hamira kijiko kimoja cha chai
iliki kijiko kimoja cha chai
samli kijiko kimoja cha chakula
unaweza tumia,maji/maziwa/nazi yapime katika mug uliyopimia sukari
ponda hadi unga wako uwe mlaini kiasi,katakata matonge,sukuma kata maandazi yako
yaache yaumuke yachome.
unaweza kutumia maharage,mchuzi wa nyama,maini,samaki kama kitoeo.





Waungwana Mapishi yapo Mengi haya "JIKONI LEO" ni Maandazi ya Yogurt ,Siyo Nazi kaazi kwako kama wewe Mpishi au Muonjaji!!!!


 Mpishi si Mwingine ni da'MAIDANA na "JIKO LANGU"  [LAKE].
kwa Maelezo Zaidi ingiahttp://jiko-langu.blogspot.co.uk/




"Swahili NA Waswahili" inawatakia Ramadhani Njema Waislam woote Dunia.

5 comments:

www.nunuatokahollandwax.blogspot.com said...

ningeomba kujua hiyo yogurt ni yalle maziwa ya mtindi siyo? na je unaweka wakati unachanga unga ua?mana hili pishi jipya kwangu. i really wana try for ramadhan.

Tmark said...

Just Plain Yogurt (Mtindi)na unachanganya na unga...

Tmark said...

Unatumia plain Yorgurt (Mtindi wa kawaida) na unauchanganya na unga.

Amina chikoyo said...

Thanx

Amina chikoyo said...

Rir apreciate u