Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 22 July 2012

J'Pili ya Leo Tumsikilize;Masanja Mkandamizaji - Albam Hakuna Jipya, Zaburi ya Wani Fifte!!!!!

Masanja ndiye anayetupa Neno na Burudani J'pili ya leo.
Neno la Leo zaburi :150;1-6;Haleluya.Msifuni MUNGU katika Patakatifu pake;Msifuni katika anga la uweza wake,Endelea...

Nawatakia J'Pili yenye Baraka,Amani,Furaha,Upendo,Unyenyekevu na Fadhili!!
Na kila Mwenye pumzi na  amsifu BWANA.
HALELUYA!!!!!!!

2 comments:

Anonymous said...

sina shida na masanja kuokoka ni kuokoka ni jambo zuri ktk maisha kumpokea yesu na kumwamini ni ndio njia ya kweli lakini mimi naona masanja bado anahubiri neno la Mungu kama anavyofanya zecomedy mimi sioni kama yuko sirias im sorry kwa kusema hili sio nia yangu kumuhuku binadamu wa aina awaye yote lakini palipo na ukweli lazima yasemwe huu ni mtazo wangu sijui wengine wanaonaje hili

Yasinta Ngonyani said...

Amina!Jumapili yako nadhani ilikuwa njema pamoja na familia!!