Kundi la watu wanaodhaniwa majambazi wamevamia baa ya Chonya eneo la River Side jijini DSM, leo asubuhi na kupora fedha..
Wakazi wa Ilala Sharifu Shamba Wamebaki wana shangaa na Kuogopa, Baada ya kusikia milio ya risasi!!!
Poleni sana.
Shukrani; ITV.
Wakazi wa Ilala Sharifu Shamba Wamebaki wana shangaa na Kuogopa, Baada ya kusikia milio ya risasi!!!
Poleni sana.
Shukrani; ITV.
1 comment:
Tunaomba maaskari kuingia mitaani mara kwa mara maana majambazo sasa wanajificha huko na kupora!
Post a Comment