Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Tuesday, 10 July 2012

Mswahili Wetu Leo; Da'EMMY KOSGEI,Ameanzia Wapi na Anaendeleaje,Msikileze!!!

Emmy Kosgei;Amepata Tunzo ya Nyimbo Bora ya Injili Barani Afrika 2012.Nyimbo;OLOLO.
Waungwana Mswahili Wetu Leo ni Emmy.
Yeye anatumia Lugha ya  kikuyu kwenye kuimba nyimbo zake,
Pia Mavazi yake Zaidi ni ya Ki Afrika.
 Mimi ananivutia sanaaa na da'Emmy 
 Nimetokea sana kupenda midundo,Mirindimo, Sauti na..... Lakini KIKUYU IMEPIGA CHENGA!!!

Vipi wewe Muungwana Emmy anakuvutia? Zaidi nini?

Ebu Tumsikilize kidogo yeye ni Nani na Ameanzia wapi na Anafanyaje!!!!!

Swahili NA Waswahili Pamoja Sana!!!!
Shukrani; Africanacts na k24Tv
Wimbo Alio upatia Tunzo Ololo!!!!
Emmy akiwa Uk.

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Mie ananivutia UASILI WAKE..na pia jinsi anayoimba hata kama sielewi anasema nini...Kazi nzuri dada Emmy

emuthree said...

Kazi nzuri tupo pamoja ndugu wa mimi

Mary Damian said...

napenda mavazi yake na rangi yake ya asili. Sielewi lugha anatumia kuimba (Kalenjin)lakini amethubutu kunifanya nipende nyimbo za asili pia...

kama alivyosema dada Yasinta..UASILI WAKE...hakuna copy n paste kutoka nje, yaani mali ya Africa kabisaa.

Asante kwa kuandika khs yeye.

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

She is THE BEST...

Hata bila sub-titles na bila kuelewa cho chote, bado naweza kusikiliza nyimbo zake siku nzima bila kuchoka.

Mungu Aendelee kumbariki !!!!

Rachel Siwa said...

Wapendwa Asanteni sana kwa Maoni yenu,kaka Mkuu Matondo umepotea sana kaka yangu.

Da'Mary karibu sanaaa

Ndugu wa mimi emu-3 Asante!

da'Yasinta Umenena dada.