Wapendwa nawatakia J'Pili njema.
Neno la Leo;Kitabu cha Pili cha Musa,Kiitwacho,KUTOKA;20:12-17.
Waheshimu baba yako na mama yako;Siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na BWANA,MUNGU wako.Endeleaa....
"Swahili NA Waswahili" MUNGU Atubariki Sote!!!!!
3 comments:
Ahsante Kachiki nawe na famiulia muwe salama. Ahsante kwa neno.
Ahsante kwa neno hope umekuwa na jumapili njema na familia yako mendwa
Asanteni sana Wapendwa!!
Post a Comment