Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 29 July 2012

Nawatakieni J'Pili Njema;Burudani- Kwaya kutoka Mbeya na Iringa!!!!!!!!!

Nawatakia J'Pili yenye Baraka, Amani,Fadhili na Shukrani.
 Mungu na Atufadhili na kutubariki,Na kutuangazia Uso wake.
Njia yake ijulike Duniani,Wokovu wake katikati ya Mataifa Yote.

Neno la Leo;Zaburi:67:1-7...

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Nakwambia nimetimuka hapa mpaka miguu inauma..Ahsante kwaya nzuri nawe uwe na jumapili njema pia

emuthree said...

Na weye j3 njema, tupo pamoja ndugu wa mimi!

Rachel Siwa said...

Hahahahaha tena najua hiyo nyimbo ya ZIRITIRIRIRIIKAAA TIRIIIRIIKAAA!!@dakoda asante nawe kila la lheri na watu yangu hapo nyumbani.

Ndugu wa mimi Asante sana sana sana kwa yooote mimi penda sana weweee!
Pamoja Daima, usione kimya Bithe mingi ndugu yangu,Pole sana na Swaumu!!!Salimia watu yangu hapo nyumbani.