Bibi na Bwana Penza hehehee kaka wa mimi hachezi mbali, hapo chini kaweka mkia wa Taa, nasikia alirithi kwa ba'Mkubwa!!
Waungwana Siku kama ya Leo miaka Kadhaa iliyopita, Bibi na Bwana Haidari walipata mtoto wa kike na Wakamwita Rukia. Kwanza tunawapongeza Wazazi/Walezi kwa yoote. Asante pia kwa kumzalia Mke kaka Mashaka!!!!!
Wifi/da'Rukia Tunakutakia kila lililojema leo na siku zote Maishani . Mungu azidi kukubariki na kukulinda na Akupe Miaka Mingi ili ufanikishe Malengo yako.Uwe Baraka kwa Watu wooote.
Swali:Waungwana;Eti ni kweli kuolewa na mume mwenye dada wengi ni karaha na si Raha? Anapo penda kaka ni hapo tuu.........Endelea na Tuselebuke aeeee ......mimi nakuja....... "SWAHILI na WASWAHILI"Pamoja sana!!
|
8 comments:
Hongera Rukia!
Hongera Bi dada.
Hongera mpendwa,ndugu wa mimi upoooo!
Hongera sana Rukia Mungu akujalie uweze kuishi miaka mingi.
Hongera sana dada Rukia!
Ahsanteni kwa niaba yake!
@Ndugu wa mimi emu-3 nipo nipo mtu wangu!!
Birukia hongera mamii
Birukia hongera mamii
Post a Comment