Ukienda Rumi Fanya kama Wafanyavyo Warumi, Ukikuta Wenyeji Wanakunja Miguu nawe Kunja yako!!!!!
Kwenye Picha hizi si Woote waavaaji hivyo kila siku Waliheshimu Sehemu Husika.
Wewe unamawazo,Maoni,Ushauri Gani katika hili?
Jee nawe unapicha yako Umevaa hivi?Ruksa kushiriki Nasi, Unaweza kututumia rasca@hotmail.co.uk
Jimwage mwanakwetu!!!!" "
RAMADHANI NJEMA KWA WOOOTE"Swahili NA Waswahili" Pamoja Daima.
3 comments:
bahati mbaya sina picha ya mvao huu ngoja nivae nipige moja....pamoja daima sana...Kachiki:-)
Wametokelezea aisee! Na Dada wa MIMI Rachel-HAPPY BIRTHDAY tu YU sana AISEE!
Da'kadala hujachelewa piga picha utuletee banaaaa!
kaka Kadoda kaka wa mimi Asante sana kaka yangu!!
Wenu KACHAKI.
Post a Comment