Waungwana, Wazazi/Walezi; Leo tuangalie Vipaji vya Watoto.
Nafikiri kila mtoto anakipaji chake, Jee unajua kipaji cha mtoto wako?Jee unawezaje kujua mtoto wako anakipaji gani?
Wewe unakipaji Gani na Nani aligundua Kipaji chako?
Pia Watoto/Watu wengi wanapokuwa/Walipokuwa wadogo wana/Walikuwa na Ndoto ya kuwa/kufanya kitu Ukubwani jee NDoto hizi niza kitoto tuu au Wapo Waliofanisha/Wanaweza kumefanikisha NDOTO zao?
Jee ulipokuwa Mdogo Ulitamani kuwa Nani/Kufanya Kazi Gani ukiwa mkubwa?Mwalimu,Polisi,Nesi,Mama Ntilie,Muimbaji au........!!
"Swahili NA Waswahili" Pamoja Sana.
2 comments:
Mara nyingi ndoto huwa kweli na mara nyingine ni ndoto tu..kama mimi nilikuwa na ndoto ya kuwa sista..lakini ...
Da'Yasinta nini kilikushinda kuwa Sista?
Post a Comment