Leo Mapishi ni kuku kwa Nananasi NA Kuku kwa Parachichi.Mmmmmhhh Tamu Saaaana.
Hivi vitu tunavyo sana Nyumbani lakin jee wote tulikuwa tunajua jinsi ya Matumizi Tofauti AU Ulikuwa unajua ni MaTunda tuu?
Una Swali au Maoni?Usisite kumuuliza. Kujua Zaidi usiache kutembelea.Tupike Pamoja.
"Swahili NA Waswahili" Pamoja Daimaaaa!!!!!!
4 comments:
kusema kweli hapa kila siku tunajifunza mapishi mapya. Sikumbuki kama nimewahi kupika kuku kwa avocado na nanasi..Ahsante sasa nitajaribu:-)
DA'Kadala ukipika nami usinikose.
Pamoja sana!!!!!
Ndugu wa mimi unatutamanisha mchana mchana...shukurani kwa somo la mapishi ya leo
Usikonde Kachiki sitakukosa...iweje tena nikukose:-)
Post a Comment