(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!
Taa ya Mwili ni Jicho;basi jicho lako likiwa safi,Mwili wako wote utakuwa na Nuru. Lakini jicho lako likiwa bovu,Mwili wako wote utakuwa na giza.Basi ile Nuru iliyomo ndani yako ikiwa giza;Si giza hilo!!!!!
Neno la Leo;Mathayo Mtakatifu:6:22-23. MUNGU NA AZIDI KUTUBARI SOOOTE!!!
1 comment:
hata kama jumapili ilikuwa jana naweza pia kusema Jumapili njema nawe pia na familia.
Post a Comment