Wapendwa; Nawatakia J'Pili yenye Furaha,Baraka,Amani,Utuwema,Fadhili na Shukrani.
Basi ndugu zangu,wapendwa wangu,ninaowaonea shauku,Furaha yangu,na taji yangu,hivyo simameni imara katika BWANA.
Neno la Leo;Wafilipi:4;1-23.
"Swahili NA Waswahili"
Neema ya BWANA YESU kristo na iwe Pamoja na roho Zenu.
AMINA.
3 comments:
NAWE PIA UWE NA JUMAPILI NJEMA SANA NA AHSANTE KWA NENO LA LEO PIA BURUDISHO LA LEO....
NA WEWE PIA NA LEO J3 njema ndugu wa mimi
Asanteni sana sana Wapendwa!
Post a Comment