Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 2 September 2012

Nawatakia J'Pili Njema;Burudani-Kinondoni Revival Choir;Mtu wa Nne ,Dini iliyosafi,New Season!!!!



Wapendwa Nawatakia J'Pili njema, Yenye Amani,Upendo na Baraka.
Hata alipotoka kwenda njiani,mtu mmoja akaja mbio,akampigia magoti,akamwuliza,Mwalimu mwema,nifanye nini nipate kuurithi uzima wa milele?
Neno la Leo;Marko Mtakatifu:10:17-31.

"Swahili NA Waswahili" MUNGU ATUBARIKI SOOOOTE.

3 comments:

emuthree said...

Jumatau njema ndugu wa mimi

Rachel Siwa said...

Asante ndugu wa mimi,Pamoja sana.

Yasinta Ngonyani said...

Jumapili yangu iliishia kubeba mabox na hata nikashindwa kupita hapa kwako kachiki. Hapo juu umetoka chicha kweli..Ahsante kwa kututakia jumapili njema na naamini nawe ulikuwa na jumapili njema.