Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Saturday, 8 September 2012

Siku kama ya Leo da'Sabrina Kiwinga Alizaliwa!!!

Bint Kiwinga kapoziii!!!

         Mhhhh Shangazi langu hiloo,Anatafakari  miaka 2. si mchezo!!
OOhh yahh  ndiyo mimi Sabrina[SAB'K]!!!
Siku kama ya Leo Familia ya Bibi na Bwana H.S.KIWINGA  wa  HOLLAND walipata mtoto wa Kike wakamwita SABRINA!!! da'Sabrina Leo Ametimiza miaka 2.Familia inamshukuru sana MUNGU kwa Yoote,Wanakutakia kila la kheri maishani,Uwe Baraka kwetu na  watu wote.

"Swahili NA Waswahili" Tunakutakia Baraka,Amani, Upendo na Makuzi mema.MUNGU awe nawe kila iitwapo Leo.

Burudani ya Leo mambo ya ki DUTCH tuu, hahahaah wapi shangazi Rabia. watachekea kwao....................

Waungwana;Kama unapenda kutuma picha za Sherehe na Mengineyo tumia.rasca@hotmail.co.uk
Pamoja Daima

3 comments:

Anonymous said...

Happy B'day mwanangu

rehema said...

Aunty lake ulijuaje kama hio katuni ndio anayo ipenda. thanks aunty!

Yasinta Ngonyani said...

Hongera kwa kutimiza miaka miwili Sab..