Waungwana;"Wanawake na Mitindo".leo Ki-dada/mama-Ki Afrikaaaa!!!!!
kwakweli mavazi haya hayamchukii mtu kwa Mtazamo wangu,kila Anayevaa anapendeza,tena Vazi hili linaupa mwili Nafasi na Kujiamini, Au.. weweee unaonaje?
Vipi wewe Dada/Mama ni Mpenzi wa Mavazi haya? wewe Kaka/Baba ungependa Dada/Mkeo au Rafiki yako Atinge hivi?
kwanini Unapenda na kwanini Huyapendi?
Funguka/Tuambiazane..........Mmmmhhh nisimalize Uhondo ngoja nisikilize na wengine...........
Picha hizi nimetumiwa na Rafiki yangu Tarou,yeye si Mswahili bali ni Rafiki wa "Mswahili" kina kaka/baba nanyi nitawarushia Msikonde wala nini.
Thanks so Much lovely Tarou.
5 comments:
Yaani nimetamani kama vile nichukua na kuvaa zote ni bonge la vazi..na burudani hiyo weweeeeeeeeee
Yaani mama Erik utapendeza sana, Tena na ukijeremba shedo kidogo uwiii beh KADALA!!!!
Some really interesting points you have written. Aided me a lot, just what I was looking for : D.
Rachel hujakosea..na akitinda nyusi na kupaka wanja..tutamkomaje..!!
Rachel tunamchokoza dada Mkuu.. ngoja asome..
Umeona eeh Kiranja wangu da'Mija, yaani tutamsahau kabisaaa dada Mkuu!!!hahahhaah ngoja aje hapa....
Post a Comment