(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!
Thursday, 27 September 2012
Wanawake na Urembo;Burudani-P-Square - Beautiful Onyinye ft. Rick Ross!!!!
Waungwana;"Wanawake na Urembo" Urembo ni nini na Jee wewe kwamtazamo wako Mwanamke Mrembo yukoje?Au wewe nini kinakuvutia kwa Mwanamke? Sina Meengi ngoja Tusikie Wengine Mnasemaje. Karibuni sana kwa Maoni,Ushauri na Kuelimishana kwa Upendo. "Swahili NA Waswahili" Pamoja Daima.......
4 comments:
Mhhh na mimi nasubiri kusikia kutoka kwa wengine.
Mwanakwetu hiyo picha yako hapo juu umetoka bombi ile mbaya.
Hahaha mwanakwetu Tiririkaa.
Saande saana, nimefurahi kukuona mwanakwetu........
mtu kujipenda nimependa hawa wadada ila mimisi mwenye kupenda kujipamba hivyo ila wao wamependeza
Hahaah Asante mwana Ngonyani!!
Post a Comment