Waungwana; "Ya Kale ni Dhahabu" Alikuwa kabin'ti Enzi hiizo, sasa ni mama .
Kuna kitu chochote unakumbuka katika picha hizi? Hizi nguo sijui zilikuwa zinaitwa Bahama au.......?
Karibuni sana Waungwana katika Yoote.kama Unapicha za Zamani unataka tuzirushe hapa, Usikonde Tuma;rasca@hotmail.co.uk.
"Swahili Na Waswahili" Pamoja Daima.
4 comments:
Hivyo viatu nimevivaa sana tu yaani..
mdogo wangu asante sana kwa kunikumbusha enzi zangu!!!
Dada mkuu msaidizi hata mie nimevivaa..halafu huo mtindo wa nywele "mabutu" nimeyaka sana...
WA'dada hivyo viatu mlikuwa mnaviitaje?
Dada lake ubarikiwe sana hata Enzi hizi bado unalupa sana tuu.......Bado zile za Arusi na Kipaimara, nakuamini wewe kwa kumbukumbu!!
Post a Comment