Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Friday, 21 September 2012

Waswahili Wetu Leo-Ilava,Wanawake na Mitindo!!Unapenda Shanga??Jimwage!!!!!!!!!












Waungwana,"Wanawake na Mitindo" Leo Tupo Kinyumbani nyumbani,Si wengine ni Wswahili hawa  Waishio Nje lakini hawasahau ya Kwao.ni Ilava............

Ilava: It Can Be Done


Nisimalize Uhondo wooote, unaswali,Unataka Utoke Ki-

Afrika?Usisite kuwasiliana nao kupitia
Shopping & retail
Chicago, Illinois 60653



+1 773-805-0704
 
 Pia unawezakuwapata Facebook.
Mwanamke mwenzio/Mswahili mwenzio akifanya kitu kizuriri lazima umpe sifa yake!!!!
Wanawake wa Swahili na Mitindo/Majukumu.
Unalolote la kuongezea hapo?
Karibu sana Tunasubiri Maoni,


Ushauri na Kuelimishana kwa Upendo.


"Swahili NA Waswahili"Pamoja Daima.

5 comments:

Anonymous said...

Nilifikiri shanga wamevaa kiunoni....hooovyoooo.

Rachel Siwa said...

Haahahha pole!! sasa mpenndwa Anonymous hizo siyo shanga?

Yasinta Ngonyani said...

Nimependa nimependa nimependa mno nusu nichukua na kuvaa....

Anonymous said...

Good reѕpond in rеturn of thіs question
with firm аrguments anԁ tеlling the whοlе thіng regardіng that.
Review my website ... instant cash loans

Anonymous said...

Ι savour, cause I discovered just ωhat I uѕed to
be tаκing a look fοr. You have ended my 4 day lengthy hunt!
Gоd Blesѕ уou man. Ηaνe a gгеat day.
Bуe
Visit my weblog - one month loan