Waungwana;"Chaguo La Mswahili Leo"Mambo hayo ya Zilipendwa..Unakumbuka Nyimbo hizi ?Ulikuwa wapi na Umri Gani weee..Uliziimba na kuongezea maneno yako pale usipoelewa?Bado Zinakubamba/Kuzipenda?Enzi hizo Ulikuwa Unavaajeeee? Kama si Mwaka Wa Watoto Viatu Kutoka BORA au MORO Shuzzzzz..
Kaka Yangu Chacha o'Wambura ananiambia ukisikiliza nyimbo hizi Unajiona KIJEBA...Hahaah.......
Twende Sote sasa Jua Maisha ni Mulima eee, Kuna Kupanda na kushuka eee...Bali Kuteleza si kwanguka eee Mtoto wa Mama....Mmmmhhh ngoja niendelee kunywa Mayai Mabichi!!
"Swahili NA Waswahili" Karibu Wooote!!!!
2 comments:
umenirudisha nyumaa enzi zileeeee shukurani sana tunavaa viatu vya mwaka wa mtoto au style nyingine inaitwa shavu duka la viatu moja tu bora nguo mshono wa scania
Hahahahaha umenichekesha sana na hiyo Mitindo ya kale.Mpendwa, Shavu na Scaniaaaa.
Nimefurahi kuona nimekurudisha zamani...Karibu sana. Nawe unaweza kunitumia Email;rasca@hotmail.co.uk
na ukatuma wimbo au picha za zamani.
Post a Comment