Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Friday, 5 October 2012

Jikoni Leo-Mitaani-Hot Dog...!!!

Waungwana; "Jikoni Leo" lilikuwa Mtaani, haya jiko hilo moto ukiwa mwingi unapandisha juu kama bembeaaaa..
Vipi Jiko hili kwa Kuchomea Mahindi,Mihogo,Mishikaki/Nyama Choma  na ............
 Mambo ya Hot Dog hayooo mitaani...Vipi wewe kilaji hiki kinapanda/unakipenda?

 Ahh Wadhungu kwa mikate wanaibadili Jina tuu na kuweka vitu tofauti lakini ni Mkate tuu.
 Hahhaha tena Nyumbani wanywaji Bia kwenye Bar wanakula Nyama choma au Michemsho..Wao Ngano kwa Ngano, Bia kwa Mkate.....

Jee Wanywaji mliokuwa Nje ya Bongo/Tanzania Nanyi mnaweza kunywa Bia kwa Mkate?....

Tunasubiri Maoni,Ushauri na Kuelimisha kwa Upendo..!!  

"Swahili na Waswahili" Pamoja Daima.

3 comments:

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

bia kwa mkate!!! No Way!!!!

Yasinta Ngonyani said...

mmmhhh! ndiyo pamoja na kusema ukifika sehemu ukikuta watu wanatembea uchi nawe tembea ila hapa mie nimeshindwa kabisa kwanza anza na hilo jina kaaazi kwelikweli ...ila hilo jiko nimelipenda nadhani nitalifuatilia nami nitengeneze:-)

Rachel Siwa said...

Ndiyo hivyo kaka o'Wambura...Anza mazoezi.

Kadala haahhhaha jina kitu gani bwana........