Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Wednesday, 31 October 2012

Mpendwa Wetu da'Mamie Msuya Amefiwa na Mama Yake!!!!!


Da'Mamie Msuya Pichani.
Amefiwa na MAMA yake Mzazi Afrika.
Dada Mamie anajiandaa na safari, Ataondoka kesho kwenda Afrika.
Tuungane nae katika wakati huu mgumu kwake. Hapa U.K. Msiba upo Nyumbani kwake.
Address;3C THOMAS KING HOUSE,
WELLINGTON ST,
CV1 5SJ.
COVENTRY.
Asanteni.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki na tupo pamoja katika maombezi ya kumwombea mama yetu.

Mija Shija Sayi said...

Pole sana Mammy, Mungu akutie nguvu..

RIP mama..