Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Tuesday, 23 October 2012

Mswahili Wetu Leo; Arba Manillah wa Kukaye Motooooooo!!!!!!!


 Waungwana;MSwahili Wetu Leo ni  Kaka ARBA  MANILLAH.
Ni mwanamuziki anayeishi na kufanya kazi zake Nchini Ujerumani[Chemnitz, Germany].
Arba Alizaliwa na kukulia IRINGA,TANZANIA.
Bendi yake inaitwa "KUKAYE MOTO"
Kujua zaidi kuhusu kaka huyu ingiaKukaye Moto na www.kukayemoto.de Twende sote sasa....
 "WANYALUKOLO"......Kihesa,Mkimbizi,Semtema,Ruaha,Ipogolo,Kigonzile,Ilala,Lugalo.....................Dar-es-salaam,Ilala,Mabibo....

"Swahili NA Waswahili" IRINGA TO GERMANY.




2 comments:

emuthree said...

HONGERA SANA WANA KIKUNDI MAANA WANAITANGAZA TZ HUKO UJERUMANI, mpendwa ndugu wa mimi TUPO PAMOJA

Yasinta Ngonyani said...

Nimependa kaka Arba..HONGERA SANA..pamoja daima.