Wapendwa;Muwe na J'Pili yenye Neema,Tumaini,Amani na Upendo.
Msiwiwe na mtu cho chote,isipokuwa Kupendana;Kwa maana ampendae mwenzake ametimiza sheria.
Neno la Leo;Warumi:13:8-10 Pendo halimfanyii jirani neno baya;Basi Pendo ndilo utimilifu wa Sheria.
"Swahili NA Waswahili" MUNGU Atubariki Sooteeee.
5 comments:
nawe pia kachiki uwe na jumapili njema sana pamoja na familia yako.
Thank you for the good writeup. It in fact was a amusement account it. Look advanced to far added agreeable from you! By the way, how could we communicate?
Na wewe pia mwanakwetu +chemeji na watoto.Kanisani umeenda lakini?
Asante mwanakwetu,duuhh J'Pili hii sikwenda mwanawane.....
Tupo pamoja ndugu wa mimi, kwa saaana
Post a Comment