Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 28 October 2012

Siku kama ya Leo da'Jestina George Alizaliwa!!!!!!


Siku kama ya Leo miaka kadhaa iliyopita Mpendwa wetu Da'Jestina[mamake na Imani] Alizaliwa.
Da'Jestina Tunakutakia kila lililo Jema,Baraka,Amani,Fadhili na Uishi Miaka Mingi na Utimize Malengo Yako.

MUNGU azidi kukutendea na kukulinda kila iitwapo Leo.

Ukitaka kujua mengi kuhusu dada huyu ingiahttp://www.jestina-george.com/

2 comments:

emuthree said...

HAPPY BIRTHDAY YAKE, TWAMTAKIA MAISHA MEMA, YENYE FURAHA TELE

Mija Shija Sayi said...

Hongera Da'JG..

Mtegemee Mungu katika kila jambo naye atakuongoza.

Happy birthday..