FAMILIA
YA MAREHEMU MCHUNGAJI MWAKIPUNDA WA NGAMANGA IPINDA KYELA
WANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MZEE NSUBISI SAMUEL MWAKIPUNDA (MKURUGENZI WA
ZAMANI WA IDARA YA MAELEZO) KILICHOTOKEA SIKU YA JUMATANO TAREHE
24/10/2012.
MIPANGO
YA MAZISHI INAFANYIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU PUGU KINYEMWEZI DAR ES SALAAM.
HABARI
ZIWAFIKIE NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI POPOTE PALE WALIPO.
KWA
MAWASILIANO ZAIDI
+255655994499
“BWANA AMETOA BWANA, AMETWAA
JINA LA BWANA LIHIMIDIWE”
AMEN
1 comment:
POLENI SANA WANAFAMILIA. MAREHEMU NA APUMZIKE KWA AMANI.
Post a Comment