Wapendwa;Tumalizie J'Pili hii kwa Amani,Baraka,Utuwema,Upendo na Fadhili. Nchi na vyote viijazavyo ni Mali ya BWANA,Dunia na Wote wakaao ndani yake .Neno La Leo;Zaburi;22:1-10.
BWANA wa Majeshi,Yeye ndiye Mfalme wa Utukufu....
MUNGU Azidi kutubariki sana
"Swahili NA Waswahili" Pamoja Daima |
2 comments:
Tupo pamoja ndugu wa mimi, j2 njema na j4 njema pia!
jumapili njema na kwako pia mdada ...
Post a Comment