Waungwana "Wanaume na Mitindo" Leo tuangalie Mitindo ya Nywele, ki-Leo/kisasa..haya Wewe unaionaje? Inakubamba/kuipenda au...
Jee Wanawake mnasemaje baba watoto, Mchumba,Kaka,Mwanao na Mitindio hii, upi umeupenda zaidi?...
Wenyewe Jee kina Kaka,Baba,Mojomba mnatuambiaje?
Mengi sina Nawasikilizawenzangu....
"Swahili NA Waswahili" Pamoja Daima...
Kuona picha zaidi, ingia kwenye Kibaraza chetu kipya;http://mitindoafrica.blogspot.co.uk/
2 comments:
Mimi hapo naguna maana kwa mwanaume kusuka,nafanananisha na mwanaume kuvaa gauni, sijui wenzangu na USASA
Hapa pagumu kidogo kwangu...
Post a Comment