Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Wednesday, 10 October 2012

Wanawake na Mitindo ya Nywele!!!!





Waungwana;"Wanawake na Mitindo" Leo tuangalie Nywele, jee wewe Mama/Dada unapenda kutengeneza Nywele na unapendelea Mitindo gani? Baba/kaka jee unapenda  Mkeo,Dada na... atengeneze vipi Nywele?

Jee Nywele ndiyo Kivutio kikubwa kwa Wanawake/Kina dada?

Kuona picha zaidi ingia kwenye Kibaraza chetu kipya cha;Mitindo Africa

"Swahili NA Waswahili" Karibuni Wooote!!!!!

7 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Mitindo yote ipo poa kabisa..pia inategemea na kichwa cha mtu kimekaaje ..ila yote mizuri...

Anonymous said...

Very awesome blog !! I couldnt have wrote this any better than you if I tried super hard hehe!! I like your style too!! it's very unique & refreshing…

emuthree said...

KUNA ILE ILIKUWA IKIITWA vitunguu, twende kilioni, na nini tena, hiyo mitindo imeishia wapi?

Rachel Siwa said...

Asante waungwana. haaahha ndugu wa mimi Emu-3 ipo ngoja niitafute nikuwekee.......

Anonymous said...

Jamani nna nywele natural na uso mpana nahitaji kusuka sijui nisuke nn!

Unknown said...

mitindo hiyo ni mizuri lakini kilichokosekana ni majina. basi utuekee na majina yake.

Rachel Siwa said...

Kaka Mohamed Soud..majina kwakweli duuh ok nitajaribu kufuatilia nikiyajua nitayaweka..
asante sana karibuni tena.