Watu wa Mapambo[Zay&Rachel] |
Kina kaka/Baba wa Covenrty na da'Esther wakiweka sawa mambo ya Burudani. |
Kina mama wa Coventry wakiandaa chakula |
Wapiga picha wakiongozwa na Mwanamke wa shoka da'Mija [Mrs Manju]kutoka MI-RA COMPANY |
Maombi yaliongozwa na da'Elina[Mrs Ademisoye]
Neno lilitolewa na da'Rachel-siwa [ muke ya Mubena]
kupambwa na kuhakikisha da'Maggie amefika na kuondoka yalisimamiwa na da'Lina[Wifi la Wabongo] |
Mpendwa wetu da'Maggie.
yeye ndiye aliyetukutanisha hapo.Ndugu yangu Maggie watu wote hawa wametoa Muda,Hali na Mali kwa sababu yaMshikamano, Umoja,Utuwema, Fadhili na Upendo wa Kweli............
MUNGU na Azidi kutuongoza.
Picha Zitaendelea usicheze mbaaali.
"Swahili na Waswhili" na "Wanawake wa Shoka"[MI-RA]
Pamoja Daima.....
8 comments:
Rachel wewe umebarikiwa!!!
Mungu akuzidishie kadiri ya unavyojitoa.. Amen.
Kachiki kumbe wewe mujuzi hivi.Baraka za Mungu ziwe nawe
Wacha wee kumbe na wewe wamo lakini hawavumi eeh.Kazi nzuri sana mwanakwetu a.k.a muke ya MUBENA.
dada umepamba jamani simple lakini uhakika,jamani mimi sijui wivu huyu binti kweli wa coventry? au mgeni iweje simjui, nimempenda sana vile washawahi
Ameen da'Mija Mungu atubariki sote.
@da'Kadala[Yasinta]Ameeen nawe uwe na baraka
@mwanakwetu da'Edna haahah Asante saaaana.
@Anonymous,Asante sana hahahahaah pole umeshachelewa ndugu yangu!!!
Jamani sherehe ilikuwa nzuri na tuli-enjoy. Chakula kilikuwa kitamu na zaidi ya yote tulipendeza tukiongozwa na Bi Harusi! Hongera sana Mage, Mungu aiongoze Ndoa yako.
NB; Nimeipenda hiyo "Wifi la Wabongo"
Da Mkubwa.
Watu wa Mapambo mnastairi Hongera! Simple and Beautiful!
Mkwe.
Ameeen kwa niaba yake da'Mkubwa..yah Wifi letu.
@Mkwe asante sana..
Post a Comment