Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Saturday, 10 November 2012

Chaguo La Mswahili Leo;Jagwa Music - Mwana wa Kitwana,Kichwa cha Nyoka na Lady jaydee kitu Mtarimbo!!!!!

Waungwana;"Chaguo la Mswahili Leo" Mambo ya Mnanda/Mchiriku na hii ya JIDE sijui niiteje Chakacha au........Naomba mnisaidie.

 Sina Meengi saana.Kama Umeguswa au unalolote unalokumbuka jimwage tuu.....


Twende Soote sasa. Ilala salamu zao...Migomigo salamu zao Temeke wasalimieeee  oohh...
Mmmhh huu Mnanda ukipigwa kigogo watu Ilala hamlali.. 

 "Swahili NA Waswahili" Sereeeeebukaa. 

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante kwa burudani huu wa mwana wa kitwana nimeupenda sana ..kupenda hakuna anayekuambia upende ila unapenda tu..na huo wa machozi bandi duh!..mtarimbo huoo mtarimbo..haya kachiki uwe na jumamosi njema na familia.