Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Tuesday, 20 November 2012

DR SHABANI KACHUA APATA MSIBA: AFIWA NA MTOTO WAKE KIPENZI.!!!!!!!


Mke wa Dr Shabani Kachua, Jemima akiwa na mtoto wao kipenzi Mary wakati wa uhai wake.
Dr Shabani Kachua
Mama Shabani Kachua akiwa amembeba mtoto wake kipenzi marehemu Mary wakati wa uhai wake.
Mtandao wako unaungana pamoja na familia ya Dr Shaban Kachua katika kipindi hiki kigumu cha majonzi, kwa heshima kubwa tunampa pole sana kwa msiba huu mkubwa ambao wameupata.
Mtoto Mary amefariki Dunia Nchini Canada jana alipokuwa anaishi na wazazi wake, mazishi yatafanyika huko huko.
"BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Poleni sana kwa msiba. Mungu awape nguvu kwa kipindi hiki kigumu. Marehemu astarehe kwa amani peponi. Amina.

Mija Shija Sayi said...

Poleni sana kwa msiba, Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu..

RIP Mary..!!