Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Friday, 16 November 2012

Jikoni Leo;Tupike Pamoja-Mapishi ya Country salad - Recipe of (Swahili)!!!!!!

Waungwana;"Jikoni leo" si wengine ni "Tupike Pamoja," Walipotea kidogo lakini waswahili wanasema kinya kingi kina.............basi wamerudi tena kwa kishindo.

Nisiwachoshe kwa maneno meeengi.Fuatana nasi katika Pishi la Leo ni "Country Salad" ...

Haya mambo hayo...ukitaka kujua zaidi usisite ingiaTupike Pamoja au www.tupikepamoja.com            

"Swahili NA Waswahili"Karibuni Woote!!!
 

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

aHSANTE KWA HII ILA BAHATI MBAYA HIYO VIDEO IMEGOMA KUONEKANA:-( NTAJARIBU BADAE