Waungwana;"Jikoni leo" si wengine ni "Tupike Pamoja," Walipotea kidogo lakini waswahili wanasema kinya kingi kina.............basi wamerudi tena kwa kishindo.
Nisiwachoshe kwa maneno meeengi.Fuatana nasi katika Pishi la Leo ni "Country Salad" ...
Haya mambo hayo...ukitaka kujua zaidi usisite ingiaTupike Pamoja au www.tupikepamoja.com
"Swahili NA Waswahili"Karibuni Woote!!!

1 comment:
aHSANTE KWA HII ILA BAHATI MBAYA HIYO VIDEO IMEGOMA KUONEKANA:-( NTAJARIBU BADAE
Post a Comment