Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Monday, 12 November 2012

Mapenzi Na Wapenzi;Burudani-Ali Kiba-MAPENZI YANA RUN DUNIA - Diamond na KIZAIZAI!!!!

Waungwana;" Mapenzi na Wapenzi".Mapenzi ni Raha Karaha?  jee Unampenda uliye naye au Unajikaza tuu ili siku ziende?

 kwanini  baadhi ya Wanawake wengi wanalaumiwa na baadhi ya waume zao eti wakisha zaa/kupata mtoto Mapenzi yanapungua kwa MUME?

 Jee kuna ukweli au Wanaume wanawivu hata kwa Watoto wao?

Karibu sana kwa Maoni/Ushauri na kuelimishana kwa Upendo.

Diamond anasema.....Kizaizai oohh Mapenzi yanauma eee nyie Mapenzi karahaaa Kizaizai.........
Ali Kiba anatuambia
......aaa aEeehhh eeeooohh ....Unatema BIG kwa Karanga za Kuonjeshwaaaa..Mapenzi yana Run Duniaaaaaa..

Mhhhhhh wewe UNASEMAJEE........

 
"Swahili NA Waswahili" Pamoja Daima
.
S n W

2 comments:

emuthree said...

Mapenzi na ndoa ni nyanja iliyotelekezwa, kwani watu wanahisi ni jambo asilia lisilohitaji shule, ...hii ni kujidnganya, na ndio maana wengi wanapata shida katika ndoa zao.

Swali langu la mara kwa mara je inawezekana dakiitari kuwa dkitari bila kuusomea huo udakitari? kama haiwezekani kwanini nyanja hii ya mapenzi hatuifanyi kama nyanja nyingine?

Kwamba ili uitwe mwanandoa kwanza uingie shule, usome kuhusu ndoa ni nini, ndoa inajengwa na misingi gani, mojawapo kubwa ni mapenzi,mapenzi ni nini?....kuna shida gani hapo!

Rachel Siwa said...

Mhhhh nimekupata Ndugu wa mimi asante sana kwa Mchango wako!!!!