Nawatakia J'Pili yenye Kheri,Baraka,Amani,Upendo na Umoja.
[1]Jitunze mguu wako uendapo nyumbani kwa MUNGU;Maana ni heri kukaribia ili usikie,Kuliko kutoa kafara ya Wapumbavu;Ambao hawajui kuwa wafanya mabaya. Neno la Leo;MHUBRI:5:1-7.[2]Usiseme maneno ya ujinga kwa kinywa chako,wala moyo wako usiwe na haraka kunena mbele za MUNGU;Kwa maana ,MUNGU yuko mbinguni, na wewe upo chini, kwa hiyo maneno yako na yawe machache. "Swahili NA Waswahili" MUNGU yu Mwemaaaa. |
1 comment:
Naamini ulikuwa na jumapili njema pamoja na familia.
Post a Comment