Wapendwa;Nawatakia J'Pili yenye Nuru na Neema.
Ondoka,uangaze;kwa kuwa Nuru yako imekuja,Na utukufu wa BWANA umekuzukia.
Neno La Leo ISAYA:60:1-6;Maana tazama,giza litafunika Dunia,Na giza kuu litazifunika kabila za watu;Bali BWANA atakuzukia wewe,Na utukufu wake utaonekana juu yako.
"Swahili NA Waswahili" Mbarikiwe Woooote.
1 comment:
Naamini nawe jumpili ilikuwa njema. Ubarikiwe nawe pia..
Post a Comment