Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 4 November 2012

Nawatakia J'Pili yenye Wema na Shukrani;Burudani-MUNGU MWAMBA by Beatrice Muhone na Nyingine nyingii!!!!!!

Wapendwa nawatakia J'Pili  yenye Upendo,Amani,Kweli,Kujitolea,Wema na Shukrani.
Basi Ndugu zangu,nawasihi, kwa huruma zake MUNGU,itoeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai,takatifu,ya kumpendeza MUNGU,ndiyo ibada yenu yenye maana.

Neno la Leo;
WARUMI;12:1-21.Wala msifuatishe namna ya dunia hii;bali mgeuzwe kwa kufanywa upya  nia zenu,mpate kujua hakika mapenzi ya MUNGU yaliyo mema,ya kumpendeza, na ukamilifu.

"Swahili NA Waswahili"
MUNGU yu mwema kwetu Soote.

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

jumapili njema kwako pia na familia pia kwa kila atakayepita hapa,

emuthree said...

Na j3 njema pia, twashukuru j2 imekwisha na leo ni J3 tumuombe mungu iwe njema

Rachel Siwa said...

Ameeen wapendwa..Pamoja Daima!!!!