Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Friday, 2 November 2012

TRA MBEYA KUELEKEA SIKU YA MLIPA KODI WASAFISHA STAND KUU YA MABASI!!!!!!








Wafanyakazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania wakiongozwa na Meneja wa TRA Mkoa wa Mbeya, Anold Maimu wamefanya usafi maeneo ya Standi kuu ya mabasi mjini Mbeya  kuelekea kwenye kilele cha siku ya mlipa kodi.
Mtazamo wa Mamlaka hiyo ukiwa ni kuwa karibu na walipa kodi kwa kwa kutoa hudumia kwenye jamii na kuamsha moyo wa kujitolea katika huduma za kijamii na kukumbusha umuhimu wa uhiyari wa kulipa kodi bila shuruti!!!!

Habari na Picha kwa hisani ya Image Profession.

No comments: