Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Thursday, 15 November 2012

Wa-Afrika na Sherehe zao;Leo Ma-Arusi wa Leo wanavyo Jimwaga!!!!!

S n W
Waungwana; vipi Maarusi wa leo wanavyojimwaga/cheza,changamka? inapendeza au inachukiza? 

Ma-Arusi wa Leo wanafuraha sana na wanajimwaga vilivyo, yaani wanaonyesha furaha zao kabisa na ukichukulia siku kama hizi hazijirudii.
Unafikiri kwanini wanakuwa hivi jee, wamechaguana wenyewe,wanakwenda na wakati,hawana Aibu,wamengojea kwa muda mrefu kuwa MKE/MUME au............?

Vipi wa zamani ni kilio mtindo mmoja jee wengi wao wamelazishwa,Upweke wa kuwa mbali na familia,Furaha iliwazidi,Kutojuana/kuchaguliwa,wali-Olewa/Oa wakiwa wadogo  Au......?

"Swahili na Waswahili" Karibuni woooote!!!!!!

2 comments:

emuthree said...

Harusi zenywe ndivyo zilivyo, ni za kubariki tu ndoa, kwani mengi yashafanyika kabla ya hiyo harusi. Aibu nk, inakuwepo kama wanandoa hawo hawana mahusiano ya karibu, na siku hiyo ya ndoa wanakutanishwa ili waweze kuwa na mahusiano hayo ya karibu.

Hata hivyo, ndoa nyingi hazidumu, ....hapo ndio pa kujiuliza iweje, kama walijimwaga kwa furaha na kumwaga razi, bila ya kujali wakwe nk

Rachel Siwa said...

Hahahahaaha duuhh Ndugu wa mimi Umemaliza yoote!!!!!

Asante sana Ndugu wa mimi kwa Maoni yako.